Zaburi 147:13
Psalms 147:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako.
Psalms 147:13 in English
Psalms 147:13 · Berean Standard Bible
For He strengthens the bars of your gates and blesses the children within you.
Context
11Bwana hupendezwa na wale wamchao,
wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu,
msifu Mungu wako, ee Sayuni, 13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako
na huwabariki watu wako walio ndani yako. 14Huwapa amani mipakani mwenu
na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 15Hutuma amri yake duniani,
neno lake hukimbia kasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.