Zaburi 147:15
Psalms 147:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi.
Psalms 147:15 in English
Psalms 147:15 · Berean Standard Bible
He sends forth His command to the earth; His word runs swiftly.
Context
13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako
na huwabariki watu wako walio ndani yako. 14Huwapa amani mipakani mwenu
na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 15Hutuma amri yake duniani,
neno lake hukimbia kasi. 16Anatandaza theluji kama sufu
na kutawanya umande kama majivu. 17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe.
Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.