Native Bible

Psalms 147:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu.

Psalms 147:16 in English

Psalms 147:16 · Berean Standard Bible

He spreads the snow like wool; He scatters the frost like ashes;

Context

14Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 15Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi. 16Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu. 17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 18Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.