Native Bible

Psalms 147:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?

Psalms 147:17 in English

Psalms 147:17 · Berean Standard Bible

He casts forth His hail like pebbles.* Who can withstand His icy blast?

Context

15Hutuma amri yake duniani, neno lake hukimbia kasi. 16Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu. 17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 18Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka. 19Amemfunulia Yakobo neno lake, sheria zake na maagizo yake kwa Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.