Native Bible

Psalms 147:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka.

Psalms 147:18 in English

Psalms 147:18 · Berean Standard Bible

He sends forth His word and melts them; He unleashes His winds, and the waters flow.

Context

16Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu. 17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 18Hutuma neno lake na kuviyeyusha, huvumisha upepo wake, nayo maji hutiririka. 19Amemfunulia Yakobo neno lake, sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 20Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote, hawazijui sheria zake. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.