Zaburi 147:14
Psalms 147:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa.
Psalms 147:14 in English
Psalms 147:14 · Berean Standard Bible
He makes peace at your borders; He fills you with the finest wheat.
Context
12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu,
msifu Mungu wako, ee Sayuni, 13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako
na huwabariki watu wako walio ndani yako. 14Huwapa amani mipakani mwenu
na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 15Hutuma amri yake duniani,
neno lake hukimbia kasi. 16Anatandaza theluji kama sufu
na kutawanya umande kama majivu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.