Native Bible

Psalms 147:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu, msifu Mungu wako, ee Sayuni,

Psalms 147:12 in English

Psalms 147:12 · Berean Standard Bible

Exalt the LORD, O Jerusalem; praise your God, O Zion!

Context

10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 11Bwana hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu, msifu Mungu wako, ee Sayuni, 13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako. 14Huwapa amani mipakani mwenu na kukushibisha kwa ngano safi kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.