Native Bible

Psalms 147:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini.

Psalms 147:6 in English

Psalms 147:6 · Berean Standard Bible

The LORD sustains the humble, but casts the wicked to the ground.

Context

4Huzihesabu nyota na huipa kila moja jina lake. 5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo. 6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini. 7Mwimbieni Bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi. 8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.