Native Bible

Psalms 147:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huzihesabu nyota na huipa kila moja jina lake.

Psalms 147:4 in English

Psalms 147:4 · Berean Standard Bible

He determines the number of the stars; He calls them each by name.

Context

2Bwana hujenga Yerusalemu, huwakusanya Israeli walio uhamishoni. 3Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao. 4Huzihesabu nyota na huipa kila moja jina lake. 5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo. 6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.