Native Bible

Psalms 147:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao.

Psalms 147:3 in English

Psalms 147:3 · Berean Standard Bible

He heals the brokenhearted and binds up their wounds.

Context

1Msifuni Bwana. Tazama jinsi ilivyo vyema kumwimbia Mungu wetu sifa, jinsi inavyopendeza na kustahili kumsifu yeye! 2Bwana hujenga Yerusalemu, huwakusanya Israeli walio uhamishoni. 3Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao. 4Huzihesabu nyota na huipa kila moja jina lake. 5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.