Zaburi 140:9
Psalms 140:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao.
Psalms 140:9 in English
Psalms 140:9 · Berean Standard Bible
May the heads of those who surround me be covered in the trouble their lips have caused.
Context
7Ee Bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu,
unikingaye kichwa changu siku ya vita: 8Ee Bwana, usiwape waovu matakwa yao,
usiache mipango yao ikafanikiwa,
wasije wakajisifu. 9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe
na shida zinazosababishwa na midomo yao. 10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie!
Na watupwe motoni,
katika mashimo ya matope,
wasiinuke tena kamwe. 11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi;
maafa na yawawinde watu wenye jeuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.