Native Bible

Psalms 140:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe.

Psalms 140:10 in English

Psalms 140:10 · Berean Standard Bible

May burning coals fall on them; may they be thrown into the fire, into the miry pits, never to rise again.

Context

8Ee Bwana, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu. 9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao. 10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe. 11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri. 12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.