Zaburi 140:12
Psalms 140:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji.
Psalms 140:12 in English
Psalms 140:12 · Berean Standard Bible
I know that the LORD upholds justice for the poor and defends the cause of the needy.
Context
10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie!
Na watupwe motoni,
katika mashimo ya matope,
wasiinuke tena kamwe. 11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi;
maafa na yawawinde watu wenye jeuri. 12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki,
na kuitegemeza njia ya mhitaji. 13Hakika wenye haki watalisifu jina lako,
na waadilifu wataishi mbele zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.