Native Bible

Psalms 140:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.

Psalms 140:13 in English

Psalms 140:13 · Berean Standard Bible

Surely the righteous will praise Your name; the upright will dwell in Your presence.

Context

11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri. 12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji. 13Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.