Native Bible

Psalms 140:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri.

Psalms 140:11 in English

Psalms 140:11 · Berean Standard Bible

May no slanderer be established in the land; may calamity hunt down the man of violence.

Context

9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao. 10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe. 11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri. 12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji. 13Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.