Zaburi 140:7
Psalms 140:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, unikingaye kichwa changu siku ya vita:
Psalms 140:7 in English
Psalms 140:7 · Berean Standard Bible
O GOD the Lord, the strength of my salvation, You shield my head in the day of battle.
Context
5Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa,
wametandaza kamba za wavu wao,
wametega mitego kwenye njia yangu. 6Ee Bwana, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.”
Ee Bwana, usikie kilio changu na kunihurumia. 7Ee Bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu,
unikingaye kichwa changu siku ya vita: 8Ee Bwana, usiwape waovu matakwa yao,
usiache mipango yao ikafanikiwa,
wasije wakajisifu. 9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe
na shida zinazosababishwa na midomo yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.