Zaburi 139:4
Psalms 139:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana.
Psalms 139:4 in English
Psalms 139:4 · Berean Standard Bible
Even before a word is on my tongue, You know all about it, O LORD.
Context
2Unajua ninapoketi na ninapoinuka;
unatambua mawazo yangu tokea mbali. 3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu;
unaelewa njia zangu zote. 4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu,
wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana. 5Umenizunguka nyuma na mbele;
umeweka mkono wako juu yangu. 6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu,
ni ya juu sana kwangu kuyafikia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.