Native Bible

Psalms 139:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali.

Psalms 139:2 in English

Psalms 139:2 · Berean Standard Bible

You know when I sit and when I rise; You understand my thoughts from afar.

Context

1Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. 2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali. 3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote. 4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.