Native Bible

Psalms 139:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, umenichunguza na kunijua.

Psalms 139:1 in English

Psalms 139:1 · Berean Standard Bible

O LORD, You have searched me and known me.

Context

1Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. 2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali. 3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.