Native Bible

Psalms 139:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote.

Psalms 139:3 in English

Psalms 139:3 · Berean Standard Bible

You search out my path and my lying down; You are aware of all my ways.

Context

1Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. 2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali. 3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; unaelewa njia zangu zote. 4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana. 5Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.