Zaburi 139:5
Psalms 139:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.
Psalms 139:5 in English
Psalms 139:5 · Berean Standard Bible
You hem me in behind and before; You have laid Your hand upon me.
Context
3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu;
unaelewa njia zangu zote. 4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu,
wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana. 5Umenizunguka nyuma na mbele;
umeweka mkono wako juu yangu. 6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu,
ni ya juu sana kwangu kuyafikia. 7Niende wapi nijiepushe na Roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.