Native Bible

Psalms 139:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia.

Psalms 139:6 in English

Psalms 139:6 · Berean Standard Bible

Such knowledge is too wonderful for me, too lofty for me to attain.

Context

4Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana. 5Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu. 6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. 7Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? 8Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi* kuwa kitanda changu, wewe uko huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.