Native Bible

Psalms 139:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi* kuwa kitanda changu, wewe uko huko.

Psalms 139:8 in English

Psalms 139:8 · Berean Standard Bible

If I ascend to the heavens, You are there; if I make my bed in Sheol, You are there.

Context

6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. 7Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? 8Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi* kuwa kitanda changu, wewe uko huko. 9Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari, 10hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.