Zaburi 139:9
Psalms 139:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari,
Psalms 139:9 in English
Psalms 139:9 · Berean Standard Bible
If I rise on the wings of the dawn, if I settle by the farthest sea,
Context
7Niende wapi nijiepushe na Roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako? 8Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko;
nikifanya vilindi* kuwa kitanda changu,
wewe uko huko. 9Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko,
kama nikikaa pande za mbali za bahari, 10hata huko mkono wako utaniongoza,
mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. 11Kama nikisema, “Hakika giza litanificha
na nuru inayonizunguka iwe usiku,”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.