Native Bible

Psalms 132:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako.

Psalms 132:8 in English

Psalms 132:8 · Berean Standard Bible

Arise, O LORD, to Your resting place, You and the ark of Your strength.

Context

6Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:* 7“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake; 8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. 9Makuhani wako na wavikwe haki, watakatifu wako na waimbe kwa furaha.” 10Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, usimkatae mpakwa mafuta wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.