Native Bible

Psalms 132:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:*

Psalms 132:6 in English

Psalms 132:6 · Berean Standard Bible

We heard that the ark was in Ephrathah;* we found it in the fields of Jaar.

Context

4sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia, 5mpaka nitakapompatia Bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.” 6Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:* 7“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake; 8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.