Native Bible

Psalms 132:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mpaka nitakapompatia Bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.”

Psalms 132:5 in English

Psalms 132:5 · Berean Standard Bible

until I find a place for the LORD, a dwelling for the Mighty One of Jacob.*”

Context

3“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu: 4sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia, 5mpaka nitakapompatia Bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.” 6Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:* 7“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.