Native Bible

Psalms 132:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu:

Psalms 132:3 in English

Psalms 132:3 · Berean Standard Bible

“I will not enter my house or get into my bed,

Context

1Ee Bwana, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili. 2Aliapa kiapo kwa Bwana na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo: 3“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu: 4sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia, 5mpaka nitakapompatia Bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.