Native Bible

Psalms 132:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliapa kiapo kwa Bwana na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo:

Psalms 132:2 in English

Psalms 132:2 · Berean Standard Bible

how he swore an oath to the LORD, and vowed to the Mighty One of Jacob:

Context

1Ee Bwana, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili. 2Aliapa kiapo kwa Bwana na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo: 3“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu: 4sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.