Native Bible

Psalms 132:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake;

Psalms 132:7 in English

Psalms 132:7 · Berean Standard Bible

Let us go to His dwelling place; let us worship at His footstool.

Context

5mpaka nitakapompatia Bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.” 6Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:* 7“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake; 8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. 9Makuhani wako na wavikwe haki, watakatifu wako na waimbe kwa furaha.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.