Native Bible

Psalms 129:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake.

Psalms 129:7 in English

Psalms 129:7 · Berean Standard Bible

unable to fill the hands of the reaper, or the arms of the binder of sheaves.

Context

5Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu. 6Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; 7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. 8Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.