Native Bible

Psalms 129:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu.

Psalms 129:5 in English

Psalms 129:5 · Berean Standard Bible

May all who hate Zion be turned back in shame.

Context

3Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. 4Lakini Bwana ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. 5Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu. 6Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; 7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.