Native Bible

Psalms 129:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua;

Psalms 129:6 in English

Psalms 129:6 · Berean Standard Bible

May they be like grass on the rooftops, which withers before it can grow,

Context

4Lakini Bwana ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. 5Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu. 6Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; 7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. 8Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.