Native Bible

Psalms 129:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Bwana.”

Psalms 129:8 in English

Psalms 129:8 · Berean Standard Bible

May none who pass by say to them, “The blessing of the LORD be on you; we bless you in the name of the LORD.”

Context

6Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; 7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. 8Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.