Native Bible

Psalms 129:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu.

Psalms 129:3 in English

Psalms 129:3 · Berean Standard Bible

The plowmen plowed over my back; they made their furrows long.

Context

1Wamenionea mno tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa: 2wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda. 3Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. 4Lakini Bwana ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. 5Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.