Zaburi 119:94
Psalms 119:94 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uniokoe, kwa maana mimi ni wako, kwa kuwa nimetafuta mausia yako.
Psalms 119:94 in English
Psalms 119:94 · Berean Standard Bible
I am Yours; save me, for I have sought Your precepts.
Context
92Kama nisingefurahia sheria yako,
ningeangamia katika taabu zangu. 93Sitasahau mausia yako kamwe,
kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. 94Uniokoe, kwa maana mimi ni wako,
kwa kuwa nimetafuta mausia yako. 95Waovu wanangojea kuniangamiza,
bali mimi ninatafakari sheria zako. 96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo,
lakini amri zako hazina mpaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.