Native Bible

Psalms 119:96 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo, lakini amri zako hazina mpaka.

Psalms 119:96 in English

Psalms 119:96 · Berean Standard Bible

I have seen a limit to all perfection, but Your commandment is without limit.

Context

94Uniokoe, kwa maana mimi ni wako, kwa kuwa nimetafuta mausia yako. 95Waovu wanangojea kuniangamiza, bali mimi ninatafakari sheria zako. 96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo, lakini amri zako hazina mpaka. 97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. Ninaitafakari mchana kutwa. 98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, kwa kuwa nimezishika daima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.