Zaburi 119:98
Psalms 119:98 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, kwa kuwa nimezishika daima.
Psalms 119:98 in English
Psalms 119:98 · Berean Standard Bible
Your commandments make me wiser than my enemies, for they are always with me.
Context
96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo,
lakini amri zako hazina mpaka. 97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu.
Ninaitafakari mchana kutwa. 98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu,
kwa kuwa nimezishika daima. 99Nina akili zaidi kuliko walimu wangu wote,
kwa kuwa ninatafakari juu ya sheria zako. 100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee,
kwa kuwa ninayatii mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.