Zaburi 119:100
Psalms 119:100 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nina ufahamu zaidi kuliko wazee, kwa kuwa ninayatii mausia yako.
Psalms 119:100 in English
Psalms 119:100 · Berean Standard Bible
I discern more than the elders, for I obey Your precepts.
Context
98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu,
kwa kuwa nimezishika daima. 99Nina akili zaidi kuliko walimu wangu wote,
kwa kuwa ninatafakari juu ya sheria zako. 100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee,
kwa kuwa ninayatii mausia yako. 101Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya,
ili niweze kutii neno lako. 102Sijaziacha sheria zako,
kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.