Native Bible

Psalms 119:101 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya, ili niweze kutii neno lako.

Psalms 119:101 in English

Psalms 119:101 · Berean Standard Bible

I have kept my feet from every evil path, that I may keep Your word.

Context

99Nina akili zaidi kuliko walimu wangu wote, kwa kuwa ninatafakari juu ya sheria zako. 100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee, kwa kuwa ninayatii mausia yako. 101Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya, ili niweze kutii neno lako. 102Sijaziacha sheria zako, kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe. 103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, matamu kuliko asali katika kinywa changu!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.