Zaburi 119:102
Psalms 119:102 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sijaziacha sheria zako, kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe.
Psalms 119:102 in English
Psalms 119:102 · Berean Standard Bible
I have not departed from Your ordinances, for You Yourself have taught me.
Context
100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee,
kwa kuwa ninayatii mausia yako. 101Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya,
ili niweze kutii neno lako. 102Sijaziacha sheria zako,
kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe. 103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu,
matamu kuliko asali katika kinywa changu! 104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako,
kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.