Native Bible

Psalms 119:104 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninapata ufahamu kutoka mausia yako, kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu.

Psalms 119:104 in English

Psalms 119:104 · Berean Standard Bible

I gain understanding from Your precepts; therefore I hate every false way.

Context

102Sijaziacha sheria zako, kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe. 103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, matamu kuliko asali katika kinywa changu! 104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako, kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu. 105Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga katika njia yangu. 106Nimeapa na nimethibitisha, kwamba nitafuata sheria zako za haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.