Zaburi 119:105
Psalms 119:105 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga katika njia yangu.
Psalms 119:105 in English
Psalms 119:105 · Berean Standard Bible
Your word is a lamp to my feet and a light to my path.
Context
103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu,
matamu kuliko asali katika kinywa changu! 104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako,
kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu. 105Neno lako ni taa ya miguu yangu
na mwanga katika njia yangu. 106Nimeapa na nimethibitisha,
kwamba nitafuata sheria zako za haki. 107Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Bwana,
sawasawa na neno lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.