Native Bible

Psalms 119:107 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Bwana, sawasawa na neno lako.

Psalms 119:107 in English

Psalms 119:107 · Berean Standard Bible

I am severely afflicted, O LORD; revive me through Your word.

Context

105Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga katika njia yangu. 106Nimeapa na nimethibitisha, kwamba nitafuata sheria zako za haki. 107Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 108Ee Bwana, pokea sifa za hiari za kinywa changu, nifundishe sheria zako. 109Ingawa maisha yangu yako hatarini siku zote, sitasahau sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.