Zaburi 119:108
Psalms 119:108 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, pokea sifa za hiari za kinywa changu, nifundishe sheria zako.
Psalms 119:108 in English
Psalms 119:108 · Berean Standard Bible
Accept the freewill offerings of my mouth, O LORD, and teach me Your judgments.
Context
106Nimeapa na nimethibitisha,
kwamba nitafuata sheria zako za haki. 107Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Bwana,
sawasawa na neno lako. 108Ee Bwana, pokea sifa za hiari za kinywa changu,
nifundishe sheria zako. 109Ingawa maisha yangu yako hatarini siku zote,
sitasahau sheria yako. 110Waovu wamenitegea mtego,
lakini sijayakiuka maagizo yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.