Native Bible

Psalms 119:95 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu wanangojea kuniangamiza, bali mimi ninatafakari sheria zako.

Psalms 119:95 in English

Psalms 119:95 · Berean Standard Bible

The wicked wait to destroy me, but I will ponder Your testimonies.

Context

93Sitasahau mausia yako kamwe, kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. 94Uniokoe, kwa maana mimi ni wako, kwa kuwa nimetafuta mausia yako. 95Waovu wanangojea kuniangamiza, bali mimi ninatafakari sheria zako. 96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo, lakini amri zako hazina mpaka. 97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. Ninaitafakari mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.