Native Bible

Psalms 119:92 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu.

Psalms 119:92 in English

Psalms 119:92 · Berean Standard Bible

If Your law had not been my delight, then I would have perished in my affliction.

Context

90Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote, umeiumba dunia, nayo inadumu. 91Sheria zako zinadumu hadi leo, kwa kuwa vitu vyote vinakutumikia. 92Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu. 93Sitasahau mausia yako kamwe, kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. 94Uniokoe, kwa maana mimi ni wako, kwa kuwa nimetafuta mausia yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.