Zaburi 119:91
Psalms 119:91 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria zako zinadumu hadi leo, kwa kuwa vitu vyote vinakutumikia.
Psalms 119:91 in English
Psalms 119:91 · Berean Standard Bible
Your ordinances stand to this day,* for all things are servants to You.
Context
89Ee Bwana, neno lako ni la milele,
linasimama imara mbinguni. 90Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote,
umeiumba dunia, nayo inadumu. 91Sheria zako zinadumu hadi leo,
kwa kuwa vitu vyote vinakutumikia. 92Kama nisingefurahia sheria yako,
ningeangamia katika taabu zangu. 93Sitasahau mausia yako kamwe,
kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.