Native Bible

Psalms 119:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako.

Psalms 119:57 in English

Psalms 119:57 · Berean Standard Bible

The LORD is my portion; I have promised to keep Your words.

Context

55Ee Bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako. 56Hili limekuwa zoezi langu: nami ninayatii mausia yako. 57Ee Bwana, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako. 58Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako. 59Nimezifikiri njia zangu na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.