Native Bible

Psalms 119:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimezifikiri njia zangu na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako.

Psalms 119:59 in English

Psalms 119:59 · Berean Standard Bible

I considered my ways and turned my steps to Your testimonies.

Context

57Ee Bwana, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako. 58Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako. 59Nimezifikiri njia zangu na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako. 60Nitafanya haraka bila kuchelewa kuzitii amri zako. 61Hata waovu wanifunge kwa kamba, sitasahau sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.